MAKAMU WA RAIS NA NAIBU WAZIRI WA AFYA WAHUDHURIA MAADHIMISHO SIKU YA WATOTO WA AFRIKA.
Makamu wa rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania Samia suluhu hassan
amepokea zawadi kutoka kwa mkuu wa wilaya ya ilala Bi sophia mjema leo jijin dar es salaam katika maadhimisho ya siku ya watoto wa Afrika zawadi ambayo imetoka kwa dokta frank manase ambaye amefanya upimaji wa afya katika siku ya watoto wa afrika kwa kujitolea.
Mapema akizungumza katika maadhimisho hayo Naibu waziri wa afya,maendeleo,jinsia,wazee na watoto Dr Hamisi Kigwangala amewakumbusha watanzania kupima afya zao mara kwa mara ili kujua kama wanamagonjwa yasiyo ya kuambukiza.
.......................
Akizungumza na wananchi katika kiwanja cha shule ya msingi kinyelezi makamu wa rais amewataka watoto kote nchini tanzania kutoa taarifa katika vyombo husika pindi wanapofanyiwa udhalilishwaji ili wahusika hao wachukuliwe hatua kwa haraka.
Makamo wa rais ametoa rai hiyo jijini dar es salaam katika maadhimisho ya siku ya watoto wa afrika na kuongezea kuwa kumekuwa na usiri mkubwa miongoni mwa watoto upande wa utoaji taarifa za vitendo vya ukatili jambo ambalo linalopelekea wahusika wa vitendo hivyo kuendelea.

No comments