Header Ads

click here

YANGA YAITAMANI SIMBA FA,

Kocha Mkuu wa yanga George,Lwandamina amesema anatamani kukutana na mahasimu wao simba katika finali ya kombe la FA,ili kulipiza kichapo cha mabao 2-1 walichopigwa katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania bara mwisho mwa laundi ya pili ya marudiano yao katika kombe la ligi vodacom premier league mwishoni mwa msimu huu.

Hata hivyo kocha huyo amesema wamejipanga poa na kikosi chao kuweza kuwakabili wapinzani wao ili kuvuka nusu fainali na kukutana na simba fainali ili kulipa kichapo cha mabao 2-1,walichopewa katika ligi kuu Tanzania bara.

No comments

Powered by Blogger.