KAMANDA SIRO ATOA TAHADHARI KUSHEREHEKEA SIKUKUU YA PASAKA KWA USALAMA NA AMANI
Jeshi la polisi kanda malumu ya dar limetoa tahadhari kwa wananchi wa dar kusherehekea sikukuu ya pasaka kwa amani bila shida,akizungumza na waandishi wa habari kamanda sirro amesema kuwa wao kama askali wamejipanga vizuri kuhakikisha ulinzi na usalama unapatikana siku hiyo ya sikukuu ya pasaka na kutoa taarifa kwa wale wahalifu kuwa watapambana nao kuhakikisha usalama unapatikana siku ya sikukuu ya pasaka.
No comments