Header Ads

click here

RONALDO AWALAZA ATRETICO MADRID MABAO 3-0

Christian ronaldo ameendeleza ubabe katika ligi ya mabingwa balani ulaya kwa kuwalaza wapinzani wao ambao wanatoka jimbo moja Atretico Madrid mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa jana katika dimba la santiago benaubeu na madrid kujipatia ushindi wa gori hizo kwenye nusu final ya kwanza.


Ronaldo amesema kufunga magori matatu peke yake katika mechi hiyooo ni sawa kuweka historia ya kuendeleza kuwalaza wapinzani wao kila wakikutana.

No comments

Powered by Blogger.