Header Ads

click here

TANZANIA SASA HAINA SHIDA NA DAWA ZA (ARV`S)

Bunge limehalifiwa kwa sasa nchi haina tatizo la upungufu wa dawa za ARV`S za kupunguza makali ya virusi vya ukimwi
kauli hiyo ilitolewa bungeni na waziri wa afya na maendeleo ya jamii jinsi,wazee,na watoto UMMY MWALIMU wakati akijibu swali la mbunge wa viti maalumu FATUMA TOUFQ wa (ccm) aliyetaka kufahamu mpango wa serikali wa kuwa na kiwanda cha kutengenezea (ARV)
                                        

No comments

Powered by Blogger.