Leo alhamisi msanii wa filamu na aliewahi kuwa miss Tanzania,madamu wema sepetu amepeta dhamana na kuachiwa huru kwa shilingi milioni tano na kusomewa mashtaka matatu yanayomkabili moja wapo ni hili la kukutwa na misokoto ya bangi.
No comments