JPM AMTEUA MABEYO KUWA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI TANZANIA.
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli amemteua Luteni Venance Mabeyo kuwa Mkuu wa majeshi ya ulinzi ya Tanzania.
Taarifa kutoka ikulu jijini Dar es salaam imesema pamoja na kuteuliwa kuwa Mkuu wa majeshi ya ulinzi Tanzania Luteni Mabeyo amepandishwa cheo kuwa jenerali.
Jenerali Mabeyo anachukua nafasi ya Jenerali Davis Mwamunyange ambaye amestaafu.
No comments