WEMA ATAJWA KUHUSIKA NA DAWA ZA KULEVYA,MKUU WA MKOA WA DAR-AWAANIKA HADHARANI.
Msanii wa filamu nchini Wema sepetu ametajwa kuwa ni kati ya wasanii ambao wanatumia dawa za kulevya hivyo anapaswa kesho kukutana na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ,Mhe:Paul Makonda katika kituo cha polisi.
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam ametaja wasanii wengine akiwemo TID,RECHO,CHID BENZ,MR BLUE na kusema kuwa anahitaji kesho wafike makao makuu ya kituo cha polisi.
No comments