Mabingwa watetezi wa kombe hilo la ASFC wameendeleza ubabe baada ya kuingia uwanjani na kuwachapa wapinzani wao Ashant goli 4-1,mchezo uliochezwa katika uwanja wa uhuru hapa jijini dar es salaam majira ya jioni.
No comments