KOMBE LA MAPINDUZI.
Amisi tambwe akipambana na beki wa azam Yahya Mohammed wakati wa mchezo wa hatua ya makundi wa kombe la mapinduzi uliomalizika usiku wa jana na Azamu kuibuka washindi wa mchezo huo kwa mabao 4-0.
Timu ya Azam Imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali baada kumpa kipigo kitakatifu cha mabao 4-0 mpinzani wake yanga huko zanzibar katika uwanja wa Amani jana usiku.habari na yahya.
No comments