Azam yatinga fainal baada ya kuichapa timu ya taifa ja ng'ombe huko nchini zanzibar katika mchezo wa nusu fainal uliofanyika majira ya kumi jioni na azam kuibuka kinara wa mchezo huo dhidi ya mpinzani wake kwa bao 1-0.
No comments