Header Ads

click here

Mwigizaji Ben hali yake bado sio nzuri........ahitaji maombi ya wadau

 Mwigizaji Ben hali yake bado sio nzuri........ahitaji maombi ya wadau





Msanii wa filamu Ben Selengo baada ya kupata ajali ambaya siku ya sikukuu ya Christmas na kulazwa katika Muhimbili, ameruhusiwa na sasa hivi yupo nyumbani.

Mchekeshaji huyo amedai licha ya kuwa ameruhusiwa kutoka hospital lakini bado afya yake haijakaa sawa na anahitaji maombi.

“Bado nahitaji maombi yenu wadau,” aliandika Ben Instagram “nimetoka Muhimbili nipo home ila kiafya bado,”
 Hili ni gari ambalo alipata nayo ajali
Ndugu na marafiki wakimtembelea kumtakia hali


No comments

Powered by Blogger.