HAITI: Moise atangazwa Rais wa Haiti
Moise atangazwa Rais wa Haiti
Mahakama Maalum inayoshughulikia masuala ya uchaguzi nchini Haiti imemtangaza mfanyabiashara maarufu nchini humo Jhuvenele Moise, kuwa Rais mpya wa nchi hiyo baada ya kushinda kiti cha urais.
Jhuvenele Moise

Mahakama imelazimika kutangaza matokeo ya uchaguzi baada ya kusikiliza malalamiko ya ukiukaji wa taratibu za uchaguzi yaliyowasilishwa mahakamani hapo na wagombea wa vyama vingine.
Mahakama hiyo imesema MOISE, ndiye Rais wa HAITI, kwa vile hakukuwa na kasoro kubwa katika uchaguzi uliomalizika nchini humo, bali makosa yaliyotokea ni ya kawaida, ambayo hayawezi kubatilisha matokeo.
Mara baada ya tangazo hilo JHUVENELE, aliomba wananchi wa HAITI wamwamini, kwani amedhamiria kuliongoza taifa hilo kwa msaada wa Mungu, na mafanikio ya nchi hiyo yatatokana na kauli ya wananchi, ikiwa ni pamoja na ushi

No comments