Header Ads

click here

Al Shabab washambulia ofisi ya Umoja wa Mataifa

Al Shabab washambulia ofisi ya Umoja wa Mataifa
Kundi la kigaidi la AL SHABAB limeshambulia ofisi ya Umoja wa Mataifa katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu na kusababisha vifo vya walinzi wanne.
Wapiganaja wa Al Shaabab
Kundi la kigaidi la AL SHABAB limeshambulia ofisi ya Umoja wa Mataifa katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu na kusababisha vifo vya walinzi wanne.

Afisa wa Polisi wa Somalia, Nour Othman amesema gari lililokuwa limetegwa mabomu limelipuka kandokando ya ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Mogadishu.

Kundi la kigaidi la Al Shabab limekiri kuhusika na shambulio hilo ambalo pia limewajeruhi watu wengine kadha.

No comments

Powered by Blogger.