SIMBA YAPENYA KWENDA FAINAL.
Simba fc yafanikiwa kupenya kwenda fainal kukutana na azam ambayo itapigwa ijumaa ya wiki hii baada ya kumlaza yanga fc kwa mikwaju ya penart 5-3 na kuweza kuvuka hatua ya nusu fainal kwenda fainal simba sasa imejipanga imara kukuta na azam fainal itayopigwa siku ya ijumaa uwanja wa amani stadium huko zanzibar.
No comments