SOPHIA MJEMA AKIFUNGUA MAADHIMISHO YA SIKU YA WATUMISHI.
Mkuu wa wilaya ya ilala BI.SOPHIA MJEMA akifungua maadhimisho ya siku ya watumishi leo jijini Dar es salaam ambayo yanatarajiwa kufikia kilele kesho.
Akizungumza na wananchi wa wilaya ya ilala BI.SOPHIA MJEMA amesema anawataka wananchi kutoa kero zao ambazo zinawakabili katika jamii zao na watumishi wa manispaa hiyo ya ilala kusikiliza kero hizo za wananchi wa wilaya ilala ili kuweza kuwasaidia,lakini ikiwemo suala la maji kuwa ni kero kubwa ambayo inawakabili wananchi wa wilaya ya ilala na kuwahaidi kuwa atalifanyia kazi suala hilo.
Aidha amewashukuru wananchi wote ambao wamefika katika maadhimisho hayo ya siku ya watumishi ambapo wanasikiliza kero zao na kuwaomba watumishi wa manispaa hiyo kuifanya siku ya alhamisi kuwa ni siku ya kusikiliza kero za wananchi wa manispaa ya ilala.

No comments