Header Ads

click here

NAIBU KATIBU WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUTOA TAARIFA YA ONGEZEKO LA MAPATO KWENYE SEKTA YA UTALII

Naibu katibu mkuu wizara ya maliasili na utalii Aloyce Mzuki ametoa taarifa ya ongezeko la mapato kwenye sekta ya utalii.

Akizungumza na waandishi wa habari bwana Aloyce mzuki amesema mapato yameongezeka 12% kutoka bilioni moja 1.9 za kimarekani lakini pia idadi ya watalii kuongezeka kutoka milioni 1,280,000

 Pia amesema kwa upande wa zanzibar mapato yameongezeka kwenye sekta ya utalii kwa 30% ila wingi wa watalii kuja ni kwa ajili ya wanyama poli na kwa zanzibar ni kwa ajili ya fukwe.

41% ya wageni wanaoingia nchini kwetu wanazungumzia kuboreshwa kwa miundo mbinu hasa barabara pamoja na ndege alisema; bwana Aloyce Mzuki.

No comments

Powered by Blogger.