MIJI/NCHI PICHA12: Fukwe ambazo unaweza kuzitembelea ukiwa Mwanza
January mosi 2017, mtu wangu nafahamu kuna watu wangu mapenzi yao ni kwenda kuenjoy kwenye fukwe, garden au beach na familia zao hasa siku ya leo
Sijakusahau mtu wangu kama upo Rock City na mapenzi yako ni kwenda kwenye fukwe kujiachia na familia, nakusogezea picha za baadhi ya fukwe za Mwanza Tunza Beach Ilemela pamoja na Rock Beach eneo la garden Kamanga Mwanza.
No comments