Header Ads

click here

HARMONIZE AKESHA NA KIKWETE

Harmonize kuperform mbele ya Rais Mstaafu Mh Jakaya Kikwete
Kwa mujibu wa posti ya Bosi wake Diamond kuwa Mh Rais ndiye aliyevutiwa na kumchagua Harmo kaka msanii ambae aliiburudisha familia yake usiku wa kukaribisha mwaka mpya huko Msoga Jumamosi ya Dec 31.
Big Up kwa Harmo kwa kufunga mwaka na historia kubwa kwenye career yako.

No comments

Powered by Blogger.