PICHA 11: Kilivyohappen Club Next Door mastaa walivyouaga mwaka 2016…
Ni Usiku wa kuamkia December 30, 2016 ambapo mastaa mbalimbali kutoka Bongoflevani walikutana Club Next Door Dar es Salaam kuwashukuru mashabiki zao na kuuwaga rasmi mwaka 2016.
Show hiyo iliyopewa jina la Triple Impact ilihudhuriwa na mastaa mbalimbali akiwemo, Shetta, Mwana FA, Dayna Nyange, Barnaba, Country Boy, Mima wa XXL ya Clouds FM na wengineo.
No comments