Shilikisho la mpira wa miguu tanzania (TFF),linawakumbusha wanachama wake kuhakikisha kuwa wadau wao hawaendelei na shughuli za mpira wa miguu kipindi hiki cha mlipuko wa virusi vya corona.
No comments