WILLIAM NGELEJA ARUDISHA PESA KWA TRA MILIONI 40.4 ALIZOPOKEA KWA RUGEMALIRA.
Amesema sababu za kurudisha pesa hizo milioni 40.4 ni baada ya kusikia ndugu james rugemalira anahusika na sakata la ESCROW na kurejesha fedha hizo kwa TRA.
Pia amesema kurejesha fedha hizo kwa kuwa aliempa msaada ni mtuhumiwa wa ESCROW.
Hata hivyo ndugu ngeleja amesema kupokea msaada ni jambo la kawaida ila usipokee msaada unaotokana na kashfa yeyote na kumpongeza Rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania kwa maendeleo ya nchi.
No comments