WAZIRI MWIGULU AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba, akizungumza na Naibu Balozi wa Marekani nchini,Dk. Inmi Patterson na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Siasa na Uchumi wa Ubalozi huo, Marilyn Gayton(kulia), walipomtembelea ofisini kwake kujadili masuala mbalimbali ya Ulinzi na Usalama,jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Katibu wa Waziri,Nelson Kaminyoge.
No comments