VideoMPYA: Young D anatualika kuitazama hii mpya inaitwa ‘Young Daddy’
January 4 2017 star kutokea soko la muziki nchini Tanzania David Ganzi maarufu kama Young D ameachia mdundo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Young Dady‘ na tayari nimekusogezea hapa chini link ya video hiyo ambayo imefanywa chini ya director Khalfani Khalmandro.
Usikae mbali na rukungutz
Usikae mbali na rukungutz
Ukimaliza kuitazama naomba niachie comment yako kuniambia Young D katisha kwa asilimia ngapi katika mdundo huu na baadae yeye mwenyewe atapita kuzisoma
No comments