Header Ads

click here

Rapper AKA akerwa na ubabaaishaji uliopo katika tuzo



Rapper AKA wa Afrika Kusini ameamua kutoa yake ya moyoni kuonyesha kuwa haridhishwi na utoaji wa tuzo za muziki barani.


Jumatano hii AKA aliamua kutumia mtandao wa Twitter kuziongelea mbovu tuzo hizo na kuandika kuwa yeye ndio msanii bora wa mwaka 2017.
“Awards are played out man. They’re too political. They can be bought. They depend on how nice you are to people,” hii ni moja kati ya ujumbe wa rapper huyo kwenye mtandao huo.


AKA aliandika ujumbe mwingine uliosomeka, “AKA – “ARTIST OF THE YEAR 2017” … save this tweet. .”

No comments

Powered by Blogger.