Mikel Obi atua rasmi ligi ya China
Mchezaji John Mikel Obi ambaye hucheza nafasi ya kiungo baada ya kuitumikia klabu ya Chelsea kwa miaka 10 sasa ameondoka na kujiunga na klabu ya Tianjin TEDA ya ligi kuu ya Uchina.
Obi mwenye miaka 29 ambaye ni raia Wanigeria atakuwa akipokea mshahara wa pauni 140,000 kwa wiki.
No comments