Kutana na Mwanamitindo wa kike chipukizi kutoka Tabora
Anaitwa ROSE VINCENT.. NI MWANAMITINDO anayechipukia kwasasa mkoani TABORA pia ni msanii wa FILAMU kutoka DOLPHIN art's GROUP... Lakini pia ni Mbunifu wa mavazi
Ni binti wakitanzania anayeikimbiza kwa kasi ndoto yake hiyo ya Ubunifu ili kuyafikia malengo yake na kujakua Mwanamitindo mkubwa Tanzania na Duniani
Tazama picha hapo chini usiache kutoa comment yako

No comments