Header Ads

click here

Full time West ham0 Man City5


Usiku wa January 6 2017 Man City ya Pep Guardiola ilisafiri hadi London katika uwanja wa London Olympic kucheza mchezo wao wa FA Cup dhidi ya wenyeji wao West Ham United.
Man City ikiwa chini ya kocha wao Pep Guardiola ilifanikiwa kuifunga West Ham United kwa goli 5-0, magoli ya Man City yakifungwa na Yaya Toure dakika ya 33, dakika ya 42 Havard Nordtveit alijifunga, David Silva dakika ya 43, Sergio Aguero dakika ya 51 na John Stones dakika ya 84.

No comments

Powered by Blogger.